Wewe na mpenzi wako, au Wewe na Familia yako ...labda niseme wewe na mtu flani hapo yaweza kusikia au wewe peke yako.
ukitaka kuwa na kitu kama hichi kwa niaba ya kumbukumbu katika maisha yako ( kitu picha ni muhimu kwa Binadamu)
Na ndo shabaa ya blog hii kuwepo ili ikutengenezee kitu ambacho hutosahau maishani mwako. simaanishi eti blog hii ndo ikutengenezee bali wanaoimiliki ndo wanaokamilisha.
Hapa safi kabisa
ReplyDelete