Wednesday, March 12, 2014

Utangulizi maalum

Kwa jina Halisi Charles N. Mkazi wa jiji la Charlotte North Carolina.
wengi wenu mnajua na kufahamu shughuli zangu za muda mrefu. na kila kunako pambazuka na mshukuru Mungu kwa pumzi anayozidi kunizawadia na neema yake kuwa juu yangu, jicho lake la huruma hunitazama kwa upole kwa maana yeye pekee ndo mwingi wa huruma, na pia mawimbi huku na huku na zidi kuhisi ikiwa ni ishara ya upendo wake kuwa karibu na mi.

Nafunguka na blog hii kuutangaza ukweli na  kile nikifanyacho katika harakati ya maisha yangu.
nawakaribisha wadau ili tuwe sote na kujua nini haswa kinachoendelea kila siku.

Im back on track TUWE SOTE
.. ningependa niseme hello
kwa maana ilikua longi sana kimya kutawala kwa muda, ila Inshallah kwa yote.
Jay-C aka Papa Chris( P-Chris) ndo mimi hapa Kwa mara nyingine. na kumbuka wengi walikua wakiniulizia "vipi Jay mbona kijiwe kimetoweka na wala hakipo tena heeewaaniii?"
haha katika lugha ya chemchem yangu tunasema ndagarutse mbega Muraho? haha yeah mazee game bado ni ile ile ...
Halla at me.

No comments:

Post a Comment