Thursday, August 6, 2015

Baada ya kundi G.Game kusambuka Jay C aliamuwa kujikarabatia Vitu Vyake Mwenyewe, Huku akisema kwamba Kazi yake ya KUIGIZA, KU EDIT, KU DIRECT, KUIMBA, KUANDIKA, Ama kuhusu kazi zingine zihusikazo na mambo ya Productions hatoacha kwamaana hizo ndo Dream zake.

Na alisema pia Hatosahau Kuwaunga Mkono wa SAANI mbali mbali ama wa Producer wenzake Huku akitowa Shukruni saana Kwa MOURICE JACKE na YOUNG PDK walipo Musaidia  kuanza Kazi zake kwa mawazo tofauti. JAY C ana towa Shukruni pia kwa FAMILIA na MARAFIKI waliwo kuwa karibu nae. JAY C kwakumalizia Anatoa Shukruni pia kwa ARBERT ambaye anafahamika kwa kazi zake za ku Disigne webs hapo TUCSON AZ.  Kwa Hayo yote JAY C anaomba rathi kwenu nyinyi nyote mupendae mambo yake, kwakuwa siku ninyingi hamuzioni kazi zake. Anaomba Mkutane tena Uwanjani Hapa. Anasema pia samahani kwahawo ambawo hawaja tajwa Majina yawo, anasema eti kipindi kifuatacho watayaona eti ndo kazi yake kuwafurahisha wale wanao jitaidi kufanya Vema. ASANTENI SAANA  BY Albert Fly G.

                                                                       SAMUEL & ICIZA NADINE

                                                                                       JAY C - KIFO


                                                          UTNC ( Umoja wa Watanzania)


                                                   DANCING PARTY ( JAY C )


No comments:

Post a Comment